MFUMO WA MFANO: usitume pesa wala kukata tiketi halisi.
+255 782823782 support@kilisoft.co.tz WhatsApp Kiswahili English
SafariHub

Kuhusu sisi

SafiriHub ni jukwaa la kukata tiketi za mabasi ya masafa marefu Tanzania mtandaoni. Tunauza tiketi kwa niaba ya kampuni za mabasi zenye leseni; hatumiliki wala kuendesha mabasi.