MFUMO WA MFANO: usitume pesa wala kukata tiketi halisi.
+255 782823782 support@kilisoft.co.tz WhatsApp Kiswahili English
SafariHub

Sera ya kusitisha safari

Omba kusitisha safari ofisini au kaunta ya kampuni kabla basi kuondoka. Kampuni huamua marejesho kwa mujibu wa sera yake na sheria.

Muda kabla ya kuondokaUnachorejeshewa
Zaidi ya saa 24Nauli yote, ukiondoa gharama za muamala
Saa 12 hadi 24Nauli ukiondoa 15% na gharama za muamala
Chini ya saa 12, au kutofikaHakuna marejesho

Marejesho yaliyoidhinishwa hulipwa na kampuni ndani ya siku 7 za kazi. Kutoripoti kabla ya kuondoka huhesabiwa kama kutofika.